Your Welcome, if your a Fashion dersigner or a Model...

Karibu sana katika muungano huu wa wadau wa mitindo. MODELS CO-OPERATION nimuungano wa wanamitindo na wabunifu wa nguo, lengo nikuinua career ya fashion nchini TANZANIA, Co operation hii inadhaminiwa na The FACE AGENCY ya NAOMI CAMPBELL, ALLY REHMTULLAH DESIGNE, MUSTAFA HASANALI na BLACK ICE AGENCY ya ABBY... Tutakuwa tunafundisha models kwa kufanya work shop kila mwisho wa wiki na pia Models wote watakao jiunga katika Co operation hii watapata nafasi ya kufanya kila fashion shows za Ally Rehmtullah na Mustafa Hassanali (SWAHILI FASHION WEEK) kila mwakaimage


SUPER MODEL NAOMI CAMPBELL

NAOMI CAMPBELL alikuja TANZANIA 2009 katika onyesho la nguo la FASHION FOR RELIF. Alivutiwa na ubunifu wetu na wamamitindo wetu na aliahidi atatoa mchango mkubwa ilikukuza mitindo nchini na mwaka huu ndo amekamilisha ahadi yake kwa kukununua apartment kwa ajili ya office na sehem ya kufanyia mazoezi, na pia yeye na AGENCY yake ya THE FACE imeamua kuwa wadhamini wakuu wa organization yetu. The Face itachukua wanamitindo watano kila mwisho wa mwezi na kwenda nao marekani kwa ajili ya kazi ila watakao pata nafasi hii ni kwa wale watakao jiunga na watakao zingatia mazoezi

DESIGNER MUSTAFA HASSANALI

MUSTAFA HASSANAL anamchango mkubwa sana katika organizationi hii baada ya kupata wazo hili kutoka kwa Ali remtullah ameamua kushikamana na wanamitindo na wabunifu chipukizi, ameahidi kwa wale watakao jiunga na organization hii watapata nafasi ya kufanya Fashion show katika Swahili fashion week kila mwaka.

Ili uwezekujiunga na Models Co operation jaza form, ingia katika link hapo chini

MY BEST COLLECTION OF THE YEAR 2012
AFTER THE CONFERENCE ABOUT MODELS CO OPERATION ME AND THE WHOLE ADMINISTRATION

Telugu Movie
Download Android App for Free
Teen Patti  Shareit  Android Games  more